Vumilia - Official video By Hassan Assadullah Mugisha / with english subtittle
Dunia imezungukwa na mitihani mbali mbali , ukikosa muelekeo unaweza kumkufuru Muumba.lamsingi vumilia na kua na subra kila jambo jina muda wake.fwata video hii na uwarushiye wenzio wapate faida