Codedfilm

  • Category Video
    Nollywood Ghallywood Hollywood Bollywood Goals Highlight Latest Movies BBNaija Mark Angel ApataTv Yorubahood
  • About Us
  • Privacy Policy
  • Copyright Claims
  • Contact Us

Download Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 1

Loading the player...


Published on 25 December 2020 by YahStoneTown
Views: 396,348
Duration: 35:15

DOWNLOAD HERE

SHARE: Facebook Twitter
Codedwap

Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 1

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #0762797291Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/supportSUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubsListen our Podcast on Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNaAudiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNaLucas Mhaville ni maalum sana, kwa ki vyovyote vile utakakavyotaka wewe, ki maisha, ki muonekano, ki uelewa na jinsi anavyokua mpya kila siku kwenye ulimwengu wake, jinsi anavyo jipa matawi na kujigawa kisanaa. Jinsi anavyotoa character wapya kila mara kwaajili tu ya kuleta ladha mpya kwenye sanaa yake, hili linamfanya aendelee kuwa mchekeshaji pekee kwenye kizazi chetu ambaye huwezi kuona amechuja au hana jipya kwenye kukufurahisha wewe.Kabla sijaiandika hii, kipande kidogo cha video kilienda kwenye ukurasa wangu wa Instagram (@ecejay) kwaajili ya kuwafahamisha watu kwamba JOTI atakua ndo mgeni wetu wa usiku wa leo, na kwenye hiyo video nilimuuliza kuhusu kabila lake ambalo kwa mujibu wake ni kabila dogo tu kutoka huko Morogoro na yeye na Baba yake mdogo ambaye ni Polisi ndo watu waarufu zaidi, ila kwa wingi wa replies kutoka kwa watu wengi wa kabila hilo inaonyesha si kabila dogo kama yeye alivyodhani, ila hiyo ni tisa, kumi ni jinsi ambayo watu WANAMPENDA na kusikiliza KILA ANACHOSEMA, hiko ni kipawa tofauti kabisa, sio kila mtu anaweza kuwa na uwezo huo.Yeye ni mzaliwa wa Morogoro na alikuja Dar es Salaam baada ya mzazi wake mmoja kufariki, alichukuliwa na ndugu yake na kuja kulelewa hapa, amesoma hapa na sanaa yake pia ilianzia hapa alipokua shuleni. Nani alimsukuma? Na je alisoma mpaka daraja lipi? Mimi na yeye pia tunazungumzia umuhimu wa elimu na malezi bora. Maisha yake alipokua mdogo na mafunzo aliyoyapata growing up.Joti si wa leo, akiwa na miaka yake 38 anajielewa vizuri sana tu. Maongezi yetu pia yalitupeleka kwa uanzishwaji wa kundi la Original Comedy ambalo lilitufanya sote tuwapende sana na enzi hizo za EATV wao wanapokua hewani basi nchi nzima ilikua inasimama kwaajili ya kuangalia walichotuandalia. Yalikua mafanikio haswa! So nini kilitokea mpaka wakaomdoka EATV? Na wao kama kundi kuna lolote kwa sasa? Au kila mtu ndo solo? Na vipi kuhusu Vengu? Yule mwenzao (mwenzetu) ambaye alipata matatizo makubwa ya ki afya na mpaka naandika hii bado yuko kitandani? Shida yake hasa ni nini? Haina tiba?Humu pia tumeongelea mahusiano yake na Seki, ambaye alikua naye toka enzi za OC akiwa kama kiongozi na mtayarishaji. Mahusiano yake na Mpoki, Masanja ambaye sasa amejikita kwenye masuala ya ki kanisa, Wa Kuvanga na McRegan? Wako wapi? Kama kuna comeback ya kundi? Lini?Wakati nafanya hii pia nilitiwa elimu na Director wangu wa siku hiyo (Ms Lydia Igarabuza) kwamba, ukitaka kuongea na mchekeshaji, ili upate utakacho, basi usimpe nafasi ya yeye kukuchekesha mpaka ukasahau kilichomleta pale, namshkuru sana kwa hilo maana nadhani ki kawaida kama wana tungecheka zaidi kabla ya kuyasikia yote ambayo tumeongea humu.Respect nyingi ziende kwa Joti ambaye ameweza ku maintain status yake ya heshima ya juu kwenye kazi yake, na kama binadamu.Yangu matumaini utaokota mawili matatu hapa ambayo yatazidi kukutia mafuta ya kukufanya utake maendeleo zaidi na heshima kwenye jina lako na maisha yako.Tafadhali enjoy.Love,SalamaSoundtrack Yeah by @MarcoChali https://www.youtube.com/watch?v=Cue1HB4fnLQFollow:Twitter: http://twitter.com/YahStoneTownInstagram: http://Instagram.com/YahStoneTownFacebook: http://facebook.com/YahStoneTownChannel Administered by Slide DigitalInstagram: www.instagram.com/slidedigitaltz



Related Videos
Download Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 2 Mp3 and Videos
Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 2 by: YahStoneTown - 1 year ago
Download  Mp3 and Videos
by: - -1 year ago
Download MPOKI AVUNJA WATU MBAVU, KILA MTU HOI, KWELI HUYU BABA LAO.. Mp3 and Videos
MPOKI AVUNJA WATU MBAVU, KILA MTU HOI, KWELI HUYU BABA LAO.. by: Global TV Online - 2 year ago
Download Unataka kuwa Truck Driver Marekani? Unajua truck drivers wanapata hela zaidi ya Tsh Milioni 250? Mp3 and Videos
Unataka kuwa Truck Driver Marekani? Unajua truck drivers wanapata hela zaidi ya Tsh Milioni 250? by: EBM SWAHILI - 1 months ago
Download Salama Na Idris Ep 8 | TROOPER Part 1 Mp3 and Videos
Salama Na Idris Ep 8 | TROOPER Part 1 by: YahStoneTown - 2 year ago
Download Salama Na Baba Levo Ep 26 | ALL IN ALL Part 1 Mp3 and Videos
Salama Na Baba Levo Ep 26 | ALL IN ALL Part 1 by: YahStoneTown - 1 year ago
Download Salama Na Jokate Ep 3 | KAMISHNA Part 1 Mp3 and Videos
Salama Na Jokate Ep 3 | KAMISHNA Part 1 by: YahStoneTown - 2 year ago
Download Salama Na CHARLES HILLARY Ep 38 | MZEE WA BUSARA Part 1 Mp3 and Videos
Salama Na CHARLES HILLARY Ep 38 | MZEE WA BUSARA Part 1 by: YahStoneTown - 1 year ago
Download Salama Na AY SE6  EP20 | THE ARCHITECT  PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 Mp3 and Videos
Salama Na AY SE6 EP20 | THE ARCHITECT PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 by: YahStoneTown - 3 week ago
Download Salama Na Lady Jaydee Ep 24 | POWERHOUSE Part 1 Mp3 and Videos
Salama Na Lady Jaydee Ep 24 | POWERHOUSE Part 1 by: YahStoneTown - 1 year ago
Download Salama Na DOGO JANJA Ep 34 | YENTE Part 1 Mp3 and Videos
Salama Na DOGO JANJA Ep 34 | YENTE Part 1 by: YahStoneTown - 1 year ago
Download Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 1 Mp3 and Videos
Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 1 by: YahStoneTown - 2 year ago
Download Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1 Mp3 and Videos
Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1 by: YahStoneTown - 2 year ago
Download Salama Na Fid Q Ep 7 | NGOSHA WA MBASA Part 1 Mp3 and Videos
Salama Na Fid Q Ep 7 | NGOSHA WA MBASA Part 1 by: YahStoneTown - 2 year ago
Download Salama Na NAPE NNAUYE SE6 EP15 |ASKARI WA BRIGEDIA PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460 Mp3 and Videos
Salama Na NAPE NNAUYE SE6 EP15 |ASKARI WA BRIGEDIA PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460 by: YahStoneTown - 2 months ago
Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 1
Download Format MP3 :




Download Format Videos :


© Copyright 2022 • Codedfilm • All Rights Reserved