Diamond Platnumz latest song "Hallelujah" ► http://bit.ly/2x02yYgThis Song was written by Diamond Platnumz & The beat was produced by Tuddthomas from Tanzania from Wasafi Records Tanzania... The Video was shot in Johannesburg, South Africa by NIC For more information Bookings and etc Contact:+255713700400 +255715333346 Email [email protected] Cc [email protected][email protected] New Hit Diamond Platinum - I miss you https://www.wasafi.com/audio-detail?audio_id=545www.wasafi.com#WhereTheHitsBelongFollow me on twitter: @diamondplatnumzFacebook page: https://www.facebook.com/DiamondPlatn...Follow on G+: https://www.google.com/+TheDiamondpla...Follow on Instagram: http://www.instagram.com/diamondplatnumzSong Lyrics:Hello hapo vipi sijui unanisikiaHello nnamaneno natamani kukwambiaHello tafadhari usije nikatiaHello ona mpaka nasaau kusalimiaHabari ghani leo nmekukumba sanaNa mama yangu twakuwazagaaVipi nyumbani hali ya mumeo na wanaNa aunty shani wa chimwagaa ah ahKile kidonda changu cha roho bado kinatia tabuNnajitaidi kukaza roho ila nadhidisha adhabuTena silali oh nasubiri maajabuMaumivu yangu ayajapata dawaI miss you nakukumbuka iye iyehI miss you nakukumbuka iye iyehI miss you nakukumbuka iye iyehI miss you nakukumbuka iye iyehNa roho yangu mama bingili bingiliAh nikikuwaza bingili bingiliNikisinzia bingili bingili bayoyoOh nikilala bingili bingiliIh inama inuka uwoh bingili bingiliUku sina raha bingili bingili bingili bayoyoAh iyeeeh ah iyeeehTatizo kwetu sijui nini kosa languMpaka nikawa adui ghafla ukanichukiagaNawaza ila siambui ama shida zanguSimba nikawa chui mi roho inaniumagaYawezekana ahadi zangu zisizotimiaNdio maana haukutaka kusubiriaNasema nyama mwisho wa siku naleta bamiaChai mchana usiku dona kurumaghiaNilitamani sana ila wangu vyangu palinishiaNingalikua na uwezo ningekutimiziaMingali unafuraha haya maumivu ntayavumiliaIla japo nambie ivi unanifikiria maana eh eehNakumkumbuka iyeeh iyeh nakumkumbuka sana oohI miss you nakukumbuka iye iyehI miss you nakukumbuka iye iyehI miss you nakukumbuka iye iyehI miss you nakukumbuka iye iyehAh na roho yangu mama bingili bingiliAh nikikuwaza bingili bingiliNikisinzia bingili bingili bayoyoOh nikilala bingili bingiliIh inama inuka uwoh bingili bingiliUku sina raha bingili bingili bingili bayoyoAta nikila bingili bingiliNikikuwa bingili bingiliNikilala heeh bingili bingili bayoyoOoh ona roho mama bingili bingiliAh nikikuwaza bingili bingiliNikisinzia bingili bingili bayoyoHeeeh! Roho yangu mama bingili bingiliHeh heh heeh! Bingili bingiliHeh heh heeh! Bingili bingili bayoyoOooh roho yangu mama bingili bingiliIh inama inuka uwoh bingili bingiliAjabu sina raha bingili bingili bayoyoAh ata nikila!